Sura 5, Sehemu 1 · Art. 60
Kanuni za sera ya ardhi
2010-as-amended · effective 2010-08-27
Nakala halisi
(1) Ardhi nchini Kenya itashikiliwa, kutumiwa na kusimamiwa katika misingi ya usawa, ufanisi, uzalishaji na uendelevu, na kwa mujibu wa kanuni zifuatazo- (a) uwezo sawa wa kupata ardhi; (b) usalama wa haki za ardhi; (c) usimamizi endelevu na wa manufaa, wa rasilmali za ardhi; (d) usimamizi wa ardhi kwa uwazi na kwa gharama ya kufaa; (e) hifadhi na utunzaji bora wa maeneo muhimu kiekolojia; (f) kumaliza ubaguzi wa kijinsia katika sheria, mila na desturi zinazohusiana na mali iliyomo katika ardhi hiyo; na (g) kuhimiza jamii kutatua mizozo kuhusu ardhi kupitia mifumo ya kiasili inayoambatana na Katiba hii. (2) Kanuni hizi zitatekelezwa kupitia kwa sera ya ardhi ya kitaifa inayoundwa na kuchunguzwa upya kila mara na serikali ya kitaifa kupitia kwa sheria.
Kwa maneno rahisi
- Ardhi nchini Kenya lazima imilikiwe, itumike na isimamiwe kwa usawa, ufanisi na uendelevu.
Art. 60(1)
(1) Ardhi nchini Kenya itashikiliwa, kutumiwa na kusimamiwa katika misingi ya usawa, ufanisi, uzalishaji na uendelevu, na kwa mujibu wa kanuni zifuatazo- (a) uwezo sawa wa kupata ardhi; (b) usalama wa haki za ardhi; (c) usimamizi endelevu na wa manufaa, wa rasilmali za ardhi; (d) usimamizi wa ardhi kwa uwazi na kwa gharama ya kufaa; (e) hifadhi na utunzaji bora wa maeneo muhimu kiekolojia; (f) kumaliza ubaguzi wa kijinsia katika sheria, mila na desturi zinazohusiana na mali iliyomo katika ardhi hiyo; na (g) kuhimiza jamii kutatua mizozo kuhusu ardhi kupitia mifumo ya kiasili inayoambatana na Katiba hii.
Soma kifungu kamili → - Kanuni ni pamoja na upatikanaji wa ardhi kwa usawa na usalama wa haki za ardhi.
Art. 60(1)(a)
(a) uwezo sawa wa kupata ardhi;
Soma kifungu kamili → - Kutakuwa na ubaguzi wa kijinsia katika sheria, desturi na mazoea yanayohusu ardhi.
Art. 60(1)(f)
(f) kumaliza ubaguzi wa kijinsia katika sheria, mila na desturi zinazohusiana na mali iliyomo katika ardhi hiyo; na
Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
- Ardhi inapaswa kugawanywa na kutumiwa kwa haki, ili kila mtu anufaike.