Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Sura 5, Sehemu 1 · Art. 68

Sheria kuhusu Ardhi

2010-as-amended · effective 2010-08-27

Nakala halisi

(1) Bunge-
  (a) litarekebisha, kuunganisha na kusawazisha sheria zilizopo kuhusu ardhi;
  (b) litarekebisha sheria za kisekta kuhusu matumizi ya ardhi kwa mujibu wa kanuni
  zilizotajwa katika Kifungu cha 60 (1);
  (c) litatunga sheria-
  (i) kushauri kuhusu kiwango cha juu na cha chini cha ekari za ardhi ya
  kumilikiwa baada ya kuzingatia ardhi ya kibinafsi;
  (ii) kudhibiti njia ambazo ardhi yoyote inaweza kubadilishwa kutoka kwenye
  ngazi moja hadi nyingine;
  (iii) kudhibiti utambuaji na uhifadhi wa mali ya kindoa na hasa boma la kindoa
  wakati wa ndoa na wakati wa uvunjwaji wa ndoa hiyo;
  (iv) kulinda, kuhifadhi na kutoa nafasi ya kupatikana kwa ardhi yote ya umma;
  (v) kuwezesha kuchunguzwa upya kwa nafasi ya ardhi ya umma ili kuimarisha
  mali au uhalali wake;
  (vi) kuwalinda wategemezi wa jamaa za wafu na haja ya kupata ardhi yakiwemo
  maslahi ya mume na mke wanaoishi katika ardhi;
  (vii) kutoa nafasi kwa suala jingine lolote linalohitajika katika kuendeleza
  masharti ya Sura hii.
Kwa maneno rahisi
  • Bunge lazima lirekebishe, liunganishe na kupanga sheria zilizopo za ardhi.
    Art. 68(a)

    (1) Bunge- (a) litarekebisha, kuunganisha na kusawazisha sheria zilizopo kuhusu ardhi; (b) litarekebisha sheria za kisekta kuhusu matumizi ya ardhi kwa mujibu wa kanuni zilizotajwa katika Kifungu cha 60 (1); (c) litatunga sheria- (i) kushauri kuhusu kiwango cha juu na cha chini cha ekari za ardhi ya kumilikiwa baada ya kuzingatia ardhi ya kibinafsi; (ii) kudhibiti njia ambazo ardhi yoyote inaweza kubadilishwa kutoka kwenye ngazi moja hadi nyingine; (iii) kudhibiti utambuaji na uhifadhi wa mali ya kindoa na hasa boma la kindoa wakati wa ndoa na wakati wa uvunjwaji wa ndoa hiyo; (iv) kulinda, kuhifadhi na kutoa nafasi ya kupatikana kwa ardhi yote ya umma; (v) kuwezesha kuchunguzwa upya kwa nafasi ya ardhi ya umma ili kuimarisha mali au uhalali wake; (vi) kuwalinda wategemezi wa jamaa za wafu na haja ya kupata ardhi yakiwemo maslahi ya mume na mke wanaoishi katika ardhi; (vii) kutoa nafasi kwa suala jingine lolote linalohitajika katika kuendeleza masharti ya Sura hii.

    Soma kifungu kamili →
  • Bunge lazima litunge sheria kulinda mali ya ndoa, hasa nyumba ya ndoa, wakati wa ndoa na baada yake.
    Art. 68(c)

    (1) Bunge- (a) litarekebisha, kuunganisha na kusawazisha sheria zilizopo kuhusu ardhi; (b) litarekebisha sheria za kisekta kuhusu matumizi ya ardhi kwa mujibu wa kanuni zilizotajwa katika Kifungu cha 60 (1); (c) litatunga sheria- (i) kushauri kuhusu kiwango cha juu na cha chini cha ekari za ardhi ya kumilikiwa baada ya kuzingatia ardhi ya kibinafsi; (ii) kudhibiti njia ambazo ardhi yoyote inaweza kubadilishwa kutoka kwenye ngazi moja hadi nyingine; (iii) kudhibiti utambuaji na uhifadhi wa mali ya kindoa na hasa boma la kindoa wakati wa ndoa na wakati wa uvunjwaji wa ndoa hiyo; (iv) kulinda, kuhifadhi na kutoa nafasi ya kupatikana kwa ardhi yote ya umma; (v) kuwezesha kuchunguzwa upya kwa nafasi ya ardhi ya umma ili kuimarisha mali au uhalali wake; (vi) kuwalinda wategemezi wa jamaa za wafu na haja ya kupata ardhi yakiwemo maslahi ya mume na mke wanaoishi katika ardhi; (vii) kutoa nafasi kwa suala jingine lolote linalohitajika katika kuendeleza masharti ya Sura hii.

    Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
  • Bunge lazima litunge sheria za ardhi zilizo za haki.

    Tafuta →