Sura 6 · Art. 74
Kiapo cha uaminifu kwa Maafisa wa Serikali
2010-as-amended · effective 2010-08-27
Nakala halisi
Kabla ya kuhudumu katika afisi ya serikali , au kutekeleza majukumu yoyote ya afisi, kila mtu aliyechaguliwa au kuteuliwa katika afisi ya Serikali ataapa au kukiri kuwajibikia afisi hiyo katika njia na hali itakayopendekezwa na Mpangilio wa Tatu, au na Sheria ya Bunge.
Kwa maneno rahisi
- Kabla ya kuchukua ofisi ya Serikali, mtu lazima awekewe kiapo au uthibitisho wa ofisi.
Art. 74
Kabla ya kuhudumu katika afisi ya serikali , au kutekeleza majukumu yoyote ya afisi, kila mtu aliyechaguliwa au kuteuliwa katika afisi ya Serikali ataapa au kukiri kuwajibikia afisi hiyo katika njia na hali itakayopendekezwa na Mpangilio wa Tatu, au na Sheria ya Bunge.
Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
- Kabla kiongozi aanze kazi, lazima aahidi kufanya kazi yake kwa uaminifu.