Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Sura 7, Sehemu 1 · Art. 81

Kanuni za jumla za mfumo wa uchaguzi

2010-as-amended · effective 2010-08-27

Nakala halisi

Mfumo wa uchaguzi utazingatia kanuni zifuatazo-
  (a) uhuru wa raia wa kutekeleza haki zao za kisiasa chini ya Ibara ya 38;
  (b) sio zaidi ya thuluthi mbili ya wanachama wa mashirika ya umma yatakayoshiriki
  uchaguzi wa wanachama watakuwa ya jinsia sawa;
  (c) uwakilishi wenye usawa wa watu walio na ulemavu;
  (d) haki ya kupiga kura kwa wote katika misingi ya haki ya uwakilishwaji na usawa
  wa kura; na
  (e) chaguzi za haki na usawa, ambazo ni -
  (i) za kura ya siri;
  (ii) huru na zisizo na ghasia, vitisho, ushawishi usiofaa, au ufisadi;
  (iii) zinazoendeshwa na halmashauri huru;
  (iv) wazi; na
  (v) zinazofanywa kwa njia zisizopendelea upande wowote, katikati, bora,
  kamilifu na zilizo na uwajibikaji.
Kwa maneno rahisi
  • Mfumo wa uchaguzi lazima uwaruhusu wananchi kutumia haki zao za kisiasa kwa uhuru.
    Art. 81(a)

    Mfumo wa uchaguzi utazingatia kanuni zifuatazo- (a) uhuru wa raia wa kutekeleza haki zao za kisiasa chini ya Ibara ya 38; (b) sio zaidi ya thuluthi mbili ya wanachama wa mashirika ya umma yatakayoshiriki uchaguzi wa wanachama watakuwa ya jinsia sawa; (c) uwakilishi wenye usawa wa watu walio na ulemavu; (d) haki ya kupiga kura kwa wote katika misingi ya haki ya uwakilishwaji na usawa wa kura; na (e) chaguzi za haki na usawa, ambazo ni - (i) za kura ya siri; (ii) huru na zisizo na ghasia, vitisho, ushawishi usiofaa, au ufisadi; (iii) zinazoendeshwa na halmashauri huru; (iv) wazi; na (v) zinazofanywa kwa njia zisizopendelea upande wowote, katikati, bora, kamilifu na zilizo na uwajibikaji.

    Soma kifungu kamili →
  • Wajumbe wa taasisi za kuchaguliwa wasiozidi theluthi mbili wawe wa jinsia moja.
    Art. 81(b)

    Mfumo wa uchaguzi utazingatia kanuni zifuatazo- (a) uhuru wa raia wa kutekeleza haki zao za kisiasa chini ya Ibara ya 38; (b) sio zaidi ya thuluthi mbili ya wanachama wa mashirika ya umma yatakayoshiriki uchaguzi wa wanachama watakuwa ya jinsia sawa; (c) uwakilishi wenye usawa wa watu walio na ulemavu; (d) haki ya kupiga kura kwa wote katika misingi ya haki ya uwakilishwaji na usawa wa kura; na (e) chaguzi za haki na usawa, ambazo ni - (i) za kura ya siri; (ii) huru na zisizo na ghasia, vitisho, ushawishi usiofaa, au ufisadi; (iii) zinazoendeshwa na halmashauri huru; (iv) wazi; na (v) zinazofanywa kwa njia zisizopendelea upande wowote, katikati, bora, kamilifu na zilizo na uwajibikaji.

    Soma kifungu kamili →
  • Kutakuwa na uwakilishi wa haki wa watu wenye ulemavu.
    Art. 81(c)

  • Uchaguzi lazima uwe huru na wa haki, kwa kura ya siri, na bila vurugu, vitisho au ufisadi.
    Art. 81(e)

    Mfumo wa uchaguzi utazingatia kanuni zifuatazo- (a) uhuru wa raia wa kutekeleza haki zao za kisiasa chini ya Ibara ya 38; (b) sio zaidi ya thuluthi mbili ya wanachama wa mashirika ya umma yatakayoshiriki uchaguzi wa wanachama watakuwa ya jinsia sawa; (c) uwakilishi wenye usawa wa watu walio na ulemavu; (d) haki ya kupiga kura kwa wote katika misingi ya haki ya uwakilishwaji na usawa wa kura; na (e) chaguzi za haki na usawa, ambazo ni - (i) za kura ya siri; (ii) huru na zisizo na ghasia, vitisho, ushawishi usiofaa, au ufisadi; (iii) zinazoendeshwa na halmashauri huru; (iv) wazi; na (v) zinazofanywa kwa njia zisizopendelea upande wowote, katikati, bora, kamilifu na zilizo na uwajibikaji.

    Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
  • Uchaguzi lazima uwe huru na wa haki, na kupiga kura ni siri.

    Tafuta →