Sura 7, Sehemu 1 · Art. 82
Sheria kuhusu uchaguzi
2010-as-amended · effective 2010-08-27
Nakala halisi
(1) Bunge litatunga sheria ya kutoa nafasi ya- (a) Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka kuamua idadi ya maeneo-bunge kuhusu maeneo ya uchaguzi kwa wanachama wa Baraza la Kitaifa na mabaraza ya kaunti; (b) uteuzi wa wagombeaji; (c) usajili wa mara kwa mara wa raia kama wapiga kura; (d) hali ya chaguzi na kura za maamuzi. Uendeshaji na usimamizi bora wa chaguzi na kura za maamuzi ikiwa ni pamoja na uteuzi wa wagombeaji wa uchaguzi; na (e) usajili wa mara kwa mara wa raia wanaoishi nje ya Kenya, kama wapiga kura na kuzifahamu haki zao za kupiga kura. (2) Sheria inayotakikana na ibara ya (1) (d) itahakikisha kwamba upigaji kura katika kila uchaguzi ni- (a) rahisi; (b) wazi; na (c) inazingatia mahitaji maalumu ya- (i) watu wenye ulemavu; na (ii) watu wengine ama vikundi vya watu walio na mahitaji maalumu.
Kwa maneno rahisi
- Bunge lazima litunge sheria kuhusu uandikishaji wa wapiga kura na uendeshaji wa uchaguzi.
Art. 82(1)
(1) Bunge litatunga sheria ya kutoa nafasi ya- (a) Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka kuamua idadi ya maeneo-bunge kuhusu maeneo ya uchaguzi kwa wanachama wa Baraza la Kitaifa na mabaraza ya kaunti; (b) uteuzi wa wagombeaji; (c) usajili wa mara kwa mara wa raia kama wapiga kura; (d) hali ya chaguzi na kura za maamuzi. Uendeshaji na usimamizi bora wa chaguzi na kura za maamuzi ikiwa ni pamoja na uteuzi wa wagombeaji wa uchaguzi; na (e) usajili wa mara kwa mara wa raia wanaoishi nje ya Kenya, kama wapiga kura na kuzifahamu haki zao za kupiga kura.
Soma kifungu kamili → - Upigaji kura lazima uwe rahisi na wa wazi, na uzingatie watu wenye ulemavu na wengine wenye mahitaji maalum.
Art. 82(2)
(2) Sheria inayotakikana na ibara ya (1) (d) itahakikisha kwamba upigaji kura katika kila uchaguzi ni- (a) rahisi; (b) wazi; na (c) inazingatia mahitaji maalumu ya- (i) watu wenye ulemavu; na (ii) watu wengine ama vikundi vya watu walio na mahitaji maalumu.
Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
- Upigaji kura unapaswa kuwa rahisi, wazi, na wa kila mtu, ikiwemo watu wenye ulemavu.
Art. 82(2)
(2) Sheria inayotakikana na ibara ya (1) (d) itahakikisha kwamba upigaji kura katika kila uchaguzi ni- (a) rahisi; (b) wazi; na (c) inazingatia mahitaji maalumu ya- (i) watu wenye ulemavu; na (ii) watu wengine ama vikundi vya watu walio na mahitaji maalumu.
Soma kifungu kamili →