Sura 7, Sehemu 1 · Art. 83
Kusajiliwa kama mpiga kura
2010-as-amended · effective 2010-08-27
Nakala halisi
(1) Mtu anastahili kusajiliwa kama mpiga kura katika chaguzi au kura za maamuzi kama mtu huyo ni raia mtu mzima; hajatangazwa kuwa na akili punguwani; na hajapatikana na hatia ya uchaguzi katika kipindi cha miaka mitano iliyotangulia. (2) raia anayestahili kusajiliwa kama mpigakura atasajiliwa kwenye kituo kimoja tu cha usajili wa kupigia kura. (3) mipango ya kiusimamizi ya usajili wa wapiga kura na uendeshaji wa chaguzi, itapangwa ili kurahisisha, na haitamnyima raia yeyote anayestahili haki ya kupiga kura au kugombea uchaguzi.
Kwa maneno rahisi
- Unastahili kujiandikisha kama mpiga kura kama wewe ni raia mtu mzima, haujatangazwa kuwa na akili isiyo sawa, na haujahukumiwa kwa kosa la uchaguzi katika miaka mitano iliyopita.
Art. 83(1)
(1) Mtu anastahili kusajiliwa kama mpiga kura katika chaguzi au kura za maamuzi kama mtu huyo ni raia mtu mzima; hajatangazwa kuwa na akili punguwani; na hajapatikana na hatia ya uchaguzi katika kipindi cha miaka mitano iliyotangulia.
Soma kifungu kamili → - Raia hujiandikisha katika kituo kimoja tu.
Art. 83(2)
(2) raia anayestahili kusajiliwa kama mpigakura atasajiliwa kwenye kituo kimoja tu cha usajili wa kupigia kura.
Soma kifungu kamili → - Mipango ya uandikishaji haipaswi kumnyima raia anayestahili haki ya kupiga kura au kugombea.
Art. 83(3)
(3) mipango ya kiusimamizi ya usajili wa wapiga kura na uendeshaji wa chaguzi, itapangwa ili kurahisisha, na haitamnyima raia yeyote anayestahili haki ya kupiga kura au kugombea uchaguzi.
Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
- Ili kupiga kura, lazima uwe raia mtu mzima na ujiandikishe mahali pamoja.
Art. 83(1)
(1) Mtu anastahili kusajiliwa kama mpiga kura katika chaguzi au kura za maamuzi kama mtu huyo ni raia mtu mzima; hajatangazwa kuwa na akili punguwani; na hajapatikana na hatia ya uchaguzi katika kipindi cha miaka mitano iliyotangulia.
Soma kifungu kamili →