Sura 7, Sehemu 1 · Art. 85
Ustahili wa kusimama kama mgombea wa kibinafsi
2010-as-amended · effective 2010-08-27
Nakala halisi
Mtu yeyote anastahili kusimama kama mgombea uchaguzi wa kujitegemea, ikiwa mtu huyo- (a) si mwanachama wa chama cha kisiasa kilichosajiliwa na hajakuwa mwanachama kwa angalau kwa kipindi cha miezi mitatu kabla ya tarehe ya uchaguzi; na (b) anatimiza masharti ya- (i) Kifungu cha 99 (1) (c) (i) au (ii), kwa mgombeaji wa uchaguzi wa Baraza la Kitaifa au Seneti, mtawalia; au (ii) Kifungu cha sheria cha 193 (1) (c) (ii), kwa mgombeaji wa uchaguzi wa bunge la kaunti.
Kwa maneno rahisi
- Unaweza kugombea kama mgombea huru kama wewe si mwanachama wa chama cha siasa kilichosajiliwa na hujakuwa mwanachama kwa angalau miezi mitatu kabla ya uchaguzi.
Art. 85(a)
Mtu yeyote anastahili kusimama kama mgombea uchaguzi wa kujitegemea, ikiwa mtu huyo- (a) si mwanachama wa chama cha kisiasa kilichosajiliwa na hajakuwa mwanachama kwa angalau kwa kipindi cha miezi mitatu kabla ya tarehe ya uchaguzi; na (b) anatimiza masharti ya- (i) Kifungu cha 99 (1) (c) (i) au (ii), kwa mgombeaji wa uchaguzi wa Baraza la Kitaifa au Seneti, mtawalia; au (ii) Kifungu cha sheria cha 193 (1) (c) (ii), kwa mgombeaji wa uchaguzi wa bunge la kaunti.
Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
- Unaweza kugombea uchaguzi peke yako bila kuwa katika chama cha siasa.