Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Sura 8, Sehemu 2 · Art. 100

Kukuza uwakilishi wa makundi yaliyotengwa

2010-as-amended · effective 2010-08-27

Nakala halisi

Bunge litatunga sheria kuimarisha uwakilishwaji Bungeni wa-
  (a) wanawake;
  (b) watu wenye ulemavu;
  (c) vijana;
  (d) makabila na wengine walio wachace; na
  (e) jamii iliyotengwa.
Kwa maneno rahisi
  • Bunge lazima litunge sheria kukuza uwakilishi wa wanawake, watu wenye ulemavu, vijana, jamii ndogo na zilizotengwa.
    Art. 100

    Bunge litatunga sheria kuimarisha uwakilishwaji Bungeni wa- (a) wanawake; (b) watu wenye ulemavu; (c) vijana; (d) makabila na wengine walio wachace; na (e) jamii iliyotengwa.

    Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
  • Bunge lazima lihakikishe wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na jamii ndogo wanawakilishwa.
    Art. 100

    Bunge litatunga sheria kuimarisha uwakilishwaji Bungeni wa- (a) wanawake; (b) watu wenye ulemavu; (c) vijana; (d) makabila na wengine walio wachace; na (e) jamii iliyotengwa.

    Soma kifungu kamili →

    Tafuta →