Sura 8, Sehemu 2 · Art. 102
Muhula wa Bunge
2010-as-amended · effective 2010-08-27
Nakala halisi
(1) Muhula wa kila Bunge humalizika mnamo tarehe ya uchaguzi mkuu unaofuata. (2) Wakati Kenya iko kwenye vita, mara kwa mara Bunge, kwa maamuzi yalioungwa mkono na angalau wabunge wasiopungua thuluthi mbili ya wabunge wote katika kila kitengo cha bunge, linaweza kuongeza kipindi cha Bunge kwa muda usiozidi miezi sita kwa wakati huo. (3) muhula wa bunge hautaongezwa chini ya ibara ya (2) kwa jumla ya zaidi ya miezi kumi na miwili.
Kwa maneno rahisi
- Muda wa kila Baraza la Bunge unaisha siku ya uchaguzi mkuu unaofuata.
Art. 102(1)
(1) Muhula wa kila Bunge humalizika mnamo tarehe ya uchaguzi mkuu unaofuata.
Soma kifungu kamili → - Wakati wa vita, Bunge linaweza kuongeza muda wake kwa hadi miezi sita kila mara, lakini si zaidi ya miezi kumi na miwili kwa jumla.
Art. 102(2)
(2) Wakati Kenya iko kwenye vita, mara kwa mara Bunge, kwa maamuzi yalioungwa mkono na angalau wabunge wasiopungua thuluthi mbili ya wabunge wote katika kila kitengo cha bunge, linaweza kuongeza kipindi cha Bunge kwa muda usiozidi miezi sita kwa wakati huo.
Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
- Bunge hufanya kazi kwa miaka mitano, hadi uchaguzi unaofuata.
Art. 102(1)
(1) Muhula wa kila Bunge humalizika mnamo tarehe ya uchaguzi mkuu unaofuata.
Soma kifungu kamili →