Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Sura 8, Sehemu 5 · Art. 117

Mamlaka, haki na kinga za Bunge

2010-as-amended · effective 2010-08-27

Nakala halisi

(1) Kutakuwa na uhuru wa kujieleza na kujadili Bungeni.
(2) Bunge linaweza, kwa lengo la kupangilia vyema shughuli za bunge, kutoa mamlaka,
marupurupu na kinga ya Bunge, kamati zake, kiongozi wa chama cha kisiasa
cha wabunge walio wengi, kiongozi wa chama cha kisiasa cha wabunge walio
wachache,vinara na wanachama wa kamati.
Kwa maneno rahisi
  • Kuna uhuru wa kujieleza na kujadili Bungeni.
    Art. 117(1)

    (1) Kutakuwa na uhuru wa kujieleza na kujadili Bungeni.

    Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
  • Wajumbe wa Bunge wako huru kuzungumza na kujadili.
    Art. 117(1)

    (1) Kutakuwa na uhuru wa kujieleza na kujadili Bungeni.

    Soma kifungu kamili →

    Tafuta →