Sura 8, Sehemu 5 · Art. 120
Lugha rasmi za Bunge
2010-as-amended · effective 2010-08-27
Nakala halisi
(1) Lugha rasmi za Bunge zitakuwa Kiswahili, Kiingereza na lugha ya ishara na shughuli za Bunge zinaweza kuendelezwa kwa Kiingereza, Kiswahili na lugha ya ishara ya Kenya. (2) iwapo patatokea mgogoro kati ya tafsiri za matoleo tofauti ya lugha za Sheria ya Bunge, toleo la tafsiri iliyotiwa saini na Rais ndiyo itakayotumika.
Kwa maneno rahisi
- Lugha rasmi za Bunge ni Kiswahili, Kiingereza na lugha ya ishara ya Kenya.
Art. 120(1)
(1) Lugha rasmi za Bunge zitakuwa Kiswahili, Kiingereza na lugha ya ishara na shughuli za Bunge zinaweza kuendelezwa kwa Kiingereza, Kiswahili na lugha ya ishara ya Kenya.
Soma kifungu kamili → - Kama matoleo ya lugha mbalimbali ya Sheria yanatofautiana, toleo lililosainiwa na Rais ndilo lenye nguvu.
Art. 120(2)
(2) iwapo patatokea mgogoro kati ya tafsiri za matoleo tofauti ya lugha za Sheria ya Bunge, toleo la tafsiri iliyotiwa saini na Rais ndiyo itakayotumika.
Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
- Bungeni, watu wanaweza kutumia Kiswahili, Kiingereza au lugha ya ishara ya Kenya.
Art. 120(1)
(1) Lugha rasmi za Bunge zitakuwa Kiswahili, Kiingereza na lugha ya ishara na shughuli za Bunge zinaweza kuendelezwa kwa Kiingereza, Kiswahili na lugha ya ishara ya Kenya.
Soma kifungu kamili →