Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Sura 9, Sehemu 2 · Art. 134

Matumizi ya mamlaka ya Urais kwa Rais wa muda

2010-as-amended · effective 2010-08-27

Nakala halisi

(1) Yeyote anayeshikilia afisi ya Rais au yule ambaye anayeidhinishwa kwa mujibu wa
Katiba hii kutumia mamlaka ya Rais-
  (a) Katika kipindi kinachoanzia mnamo tarehe ya kwanza kwenye uchaguzi wa Rais,
  na kukamilika wakati Rais mpya anapochukua hatamu za afisi; au
  (b) wakati Rais hayupo au, hawezi kutekeleza mamlaka yake au wakati mwingine
  kama ilivyoelekezwa katika kifungu cha 147 (3), hawezi kutekeleza mamlaka ya
  Rais yaliyotajwa katika ibara ya ya (2).
(2) Mamlaka hayo yaliyotajwa katika ibara ya (1) ni-
  (a) kuteua na kuwaandika kazi majaji wa mahakama yenye mamlaka makuu;
  (b) kuteua na kuandika kazi afisa yeyote wa umma ambaye Katiba au sheria hii
  inamhitaji Rais kumteua;
  (c) kuwaandika kazi au kuwateua au kuwaachiza kazi mawaziri na maafisa wengine
  wa umma au wa Serikali;
  (d) Kuandika kazi au kuteu au kuwaachisha kazi mabalozi au wawakilishi wa
  mabalozi, wanadiplomasia na wawakilishi wengine;
  (e) Mamlaka ya msamaha wa Rais;
  (f) Mamlaka ya kutuza heshima kwa jina la wananchi na Jamhuri.
Kwa maneno rahisi
  • Wakati wa kipindi cha mpito (kama kati ya uchaguzi na Rais mpya kuchukua madaraka), mamlaka kadhaa ya Rais hayawezi kutumika.
    Art. 134(1)

    (1) Yeyote anayeshikilia afisi ya Rais au yule ambaye anayeidhinishwa kwa mujibu wa Katiba hii kutumia mamlaka ya Rais- (a) Katika kipindi kinachoanzia mnamo tarehe ya kwanza kwenye uchaguzi wa Rais, na kukamilika wakati Rais mpya anapochukua hatamu za afisi; au (b) wakati Rais hayupo au, hawezi kutekeleza mamlaka yake au wakati mwingine kama ilivyoelekezwa katika kifungu cha 147 (3), hawezi kutekeleza mamlaka ya Rais yaliyotajwa katika ibara ya ya (2).

    Soma kifungu kamili →
  • Haya ni pamoja na kuteua majaji, Makatibu wa Baraza la Mawaziri na mabalozi, na uwezo wa msamaha.
    Art. 134(2)

    (2) Mamlaka hayo yaliyotajwa katika ibara ya (1) ni- (a) kuteua na kuwaandika kazi majaji wa mahakama yenye mamlaka makuu; (b) kuteua na kuandika kazi afisa yeyote wa umma ambaye Katiba au sheria hii inamhitaji Rais kumteua; (c) kuwaandika kazi au kuwateua au kuwaachiza kazi mawaziri na maafisa wengine wa umma au wa Serikali; (d) Kuandika kazi au kuteu au kuwaachisha kazi mabalozi au wawakilishi wa mabalozi, wanadiplomasia na wawakilishi wengine; (e) Mamlaka ya msamaha wa Rais; (f) Mamlaka ya kutuza heshima kwa jina la wananchi na Jamhuri.

    Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
  • Wakati hakuna Rais kamili, mamlaka mengine makubwa hayawezi kutumika.
    Art. 134(1)

    (1) Yeyote anayeshikilia afisi ya Rais au yule ambaye anayeidhinishwa kwa mujibu wa Katiba hii kutumia mamlaka ya Rais- (a) Katika kipindi kinachoanzia mnamo tarehe ya kwanza kwenye uchaguzi wa Rais, na kukamilika wakati Rais mpya anapochukua hatamu za afisi; au (b) wakati Rais hayupo au, hawezi kutekeleza mamlaka yake au wakati mwingine kama ilivyoelekezwa katika kifungu cha 147 (3), hawezi kutekeleza mamlaka ya Rais yaliyotajwa katika ibara ya ya (2).

    Soma kifungu kamili →

    Tafuta →