Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Sura 9, Sehemu 2 · Art. 136

Uchaguzi wa Rais

2010-as-amended · effective 2010-08-27

Nakala halisi

(1) Rais atachaguliwa na wapigakura waliosajiliwa katika uchaguzi wa kitaifa
utakaoendeshwa kwa mujibu wa Katiba hii na Sheria nyingine yoyote ya Bunge
inayothibiti uchaguzi wa Rais.
(2) Uchaguzi wa Rais utafanyika-
  (a) siku moja na ile ya uchaguzi mkuu wa Wabunge, ikiwa ni siku ya Jumanne ya pili
  ya mwezi Agosti ya kila mwaka wa tano; au
  (b) katika hali ambazo zinatajwa kwenye ibara ya 146.
Kwa maneno rahisi
  • Rais huchaguliwa na wapiga kura waliojiandikisha katika uchaguzi wa kitaifa.
    Art. 136(1)

    (1) Rais atachaguliwa na wapigakura waliosajiliwa katika uchaguzi wa kitaifa utakaoendeshwa kwa mujibu wa Katiba hii na Sheria nyingine yoyote ya Bunge inayothibiti uchaguzi wa Rais.

    Soma kifungu kamili →
  • Uchaguzi hufanyika siku moja na uchaguzi mkuu, Jumanne ya pili ya Agosti kila mwaka wa tano.
    Art. 136(2)

    (2) Uchaguzi wa Rais utafanyika- (a) siku moja na ile ya uchaguzi mkuu wa Wabunge, ikiwa ni siku ya Jumanne ya pili ya mwezi Agosti ya kila mwaka wa tano; au (b) katika hali ambazo zinatajwa kwenye ibara ya 146.

    Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
  • Rais huchaguliwa na wapiga kura wote katika uchaguzi wa kitaifa.
    Art. 136(1)

    (1) Rais atachaguliwa na wapigakura waliosajiliwa katika uchaguzi wa kitaifa utakaoendeshwa kwa mujibu wa Katiba hii na Sheria nyingine yoyote ya Bunge inayothibiti uchaguzi wa Rais.

    Soma kifungu kamili →

    Tafuta →