Sura 9, Sehemu 3 · Art. 155
Makatibu Wakuu
2010-as-amended · effective 2010-08-27
Nakala halisi
(1) Kutabuniwa afisi ya Katibu Mkuu ambayo ni afisi katika huduma ya umma. (2) Kila Wizara au idara ya Serikali itakuwa chini ya usimamizi wa Katibu Mkuu. (3) Rais - (a) atapendekeza mtu ili kuteuliwa kama Katibu Mkuu kutoka miongoni mwa wale waliopendekezwa na Tume ya Huduma za Umma; na (b) atamteua Katibu Mkuu kwa idhini ya Baraza la Kitaifa. (4) Rais anaweza kubadilisha au kumhamisha kazi Katibu Mkuu. (5) Katibu Mkuu anaweza kujiuzulu kwa kumuandikia Rais notisi.
Kwa maneno rahisi
- Kuna ofisi ya Katibu Mkuu, katika huduma za umma.
Art. 155(1)
(1) Kutabuniwa afisi ya Katibu Mkuu ambayo ni afisi katika huduma ya umma.
Soma kifungu kamili → - Kila idara ya Serikali inasimamiwa na Katibu Mkuu.
Art. 155(2)
(2) Kila Wizara au idara ya Serikali itakuwa chini ya usimamizi wa Katibu Mkuu.
Soma kifungu kamili → - Rais huteua kutoka kwa watu waliopendekezwa na Tume ya Huduma za Umma, na huteua kwa idhini ya Bunge la Kitaifa.
Art. 155(3)
(3) Rais - (a) atapendekeza mtu ili kuteuliwa kama Katibu Mkuu kutoka miongoni mwa wale waliopendekezwa na Tume ya Huduma za Umma; na (b) atamteua Katibu Mkuu kwa idhini ya Baraza la Kitaifa.
Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
- Kila idara ya serikali inaendeshwa na Katibu Mkuu.
Art. 155(2)
(2) Kila Wizara au idara ya Serikali itakuwa chini ya usimamizi wa Katibu Mkuu.
Soma kifungu kamili →