Sura 10, Sehemu 1 · Art. 161
Afisi na Maafisa wa Mahakama
2010-as-amended · effective 2010-08-27
Nakala halisi
(1) Mahakama inahusisha majaji wa mahakama za mamlaka ya juu, mahakimu na maafisa wengine wa idara ya Mahakama. (2) Kutabuniwa afisi ya- (a) Jaji Mkuu, atakayekuwa Mkuu wa Mahakama; (b) Naibu Jaji Mkuu, atakayekuwa Naibu Mkuu wa Mahakama; (c) Msajili Mkuu wa Idara ya Mahakama ambaye ni msimamizi mkuu wa kiutawala na afisa wa uhasibu wa Idara ya Mahakama. (3) Tume ya Huduma za Mahakama inaweza kuunda afisi nyingine za masjala ikiwa pana haja ya kufanya hivyo.
Kwa maneno rahisi
- Mahakama ina majaji wa mahakama za mamlaka kuu, mahakimu, maafisa wengine wa mahakama na wafanyakazi.
Art. 161(1)
(1) Mahakama inahusisha majaji wa mahakama za mamlaka ya juu, mahakimu na maafisa wengine wa idara ya Mahakama.
Soma kifungu kamili → - Kuna Jaji Mkuu (Mkuu wa Mahakama), Naibu Jaji Mkuu, na Msajili Mkuu.
Art. 161(2)
(2) Kutabuniwa afisi ya- (a) Jaji Mkuu, atakayekuwa Mkuu wa Mahakama; (b) Naibu Jaji Mkuu, atakayekuwa Naibu Mkuu wa Mahakama; (c) Msajili Mkuu wa Idara ya Mahakama ambaye ni msimamizi mkuu wa kiutawala na afisa wa uhasibu wa Idara ya Mahakama.
Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
- Mahakama ina majaji, mahakimu na maafisa wengine, wakiongozwa na Jaji Mkuu.
Art. 161(1)
(1) Mahakama inahusisha majaji wa mahakama za mamlaka ya juu, mahakimu na maafisa wengine wa idara ya Mahakama.
Soma kifungu kamili →