Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Sura 10, Sehemu 1 · Art. 162

Mfumo wa mahakama

2010-as-amended · effective 2010-08-27

Nakala halisi

(1) Mahakama za mamlaka ya juu ni Mahakama ya Juu, Mahakama ya Rufaa,
Mahakama Kuu na mahakama nyingine zilizotajwa katika Kifungu cha (2).
(2) Bunge litabuni mahakama zenye hadhi ya Mahakama Kuu ili kusikiliza na kuamua
mizozo inayohusu –
  (a) kuandikwa kazi na masuala yanayohusiana na ajira; na
  (b) Mazingira na utumiaji wa ardhi, na hatimiliki ya, umiliki wa ardhi.
(3) Bunge litaamua mipaka na majukumu ya mahakama yanayofafanuliwa katika ibara
ya (2).
(4) Mahakama za chini ni mahakama zinazobuniwa chini ya Kifungu cha 169, au na
Bunge kulingana na Kifungu hicho.
Kwa maneno rahisi
  • Mahakama za mamlaka kuu ni Mahakama ya Juu Zaidi, Mahakama ya Rufaa, Mahakama Kuu, na mahakama zenye hadhi ya Mahakama Kuu kwa migogoro ya ajira na ardhi.
    Art. 162(1)

    (1) Mahakama za mamlaka ya juu ni Mahakama ya Juu, Mahakama ya Rufaa, Mahakama Kuu na mahakama nyingine zilizotajwa katika Kifungu cha (2).

    Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
  • Kuna ngazi mbalimbali za mahakama, kutoka Mahakama ya Juu Zaidi hadi mahakama za mahakimu.
    Art. 162(1)

    (1) Mahakama za mamlaka ya juu ni Mahakama ya Juu, Mahakama ya Rufaa, Mahakama Kuu na mahakama nyingine zilizotajwa katika Kifungu cha (2).

    Soma kifungu kamili →

    Tafuta →