Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Sura 10, Sehemu 3 · Art. 169

Subordinate courts

2010-as-amended · effective 2010-08-27

Nakala halisi

(1) Mahakama saidizi ni –
  (a) Mahakama za Mahakimu;
  (b) Mahakama za Kadhi;
  (c) Mahakama ya Kijeshi; na
  (d) Mahakama yoyote nyingine au mahakama maalum kama inavyoweza kubuniwa
  kwa Sheria ya Bunge, isipokuwa mahakama zilizobuniwa kwa mujibu wa kifungu
  cha 162 (2).
(2) Bunge, kwa njia ya sheria litatoa mipaka, mamlaka na majukumu kwa mahakama
ambazo zilizobuniwa chini ya ibara ya (1).
Kwa maneno rahisi
  • Mahakama ndogo ni mahakama za mahakimu, mahakama za Kadhi, mahakama za kijeshi, na mahakama au baraza lingine lolote la eneo linaloundwa na Sheria ya Bunge.
    Art. 169(1)

    (1) Mahakama saidizi ni – (a) Mahakama za Mahakimu; (b) Mahakama za Kadhi; (c) Mahakama ya Kijeshi; na (d) Mahakama yoyote nyingine au mahakama maalum kama inavyoweza kubuniwa kwa Sheria ya Bunge, isipokuwa mahakama zilizobuniwa kwa mujibu wa kifungu cha 162 (2).

    Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
  • Chini ya Mahakama Kuu kuna mahakama za mahakimu, za Kadhi na za kijeshi.

    Tafuta →