Sura 10, Sehemu 4 · Art. 172
Majukumu ya Tume ya Huduma za Mahakama
2010-as-amended · effective 2010-08-27
Nakala halisi
(1) Tume ya Huduma za Mahakama itahakikisha na kuimarisha uhuru na uwajibikaji wa idara ya Mahakama na kuimarisha uhuru na uwazi wa mahakama na usimamizi bora na wenye uwazi na haki pamoja na – (a) kupendekeza kwa Rais wa Taifa watu wa kuteuliwa kuwa majaji; (b) kuchunguza na kutoa mapendekezo kuhusu masharti ya utendajikazi wa- (i) majaji na maafisa wengine wa mahakama kando na mishahara; na (ii) wafanyikazi wa mahakama; (c) kuchunguza na kutoa mapendekezo kuhusu hali na mazingira ya utendajikazi wa wafanyakazi katika idara ya mahakama; (d) kuteua, kupokea malalamiko ya kupinga, kuchunguza na kuwafuta au hatua nyinginezo za kuwaadhibu, kuwasajili,mahakimu na maafisa wengine wa mahakama na wafanyakazi wengine wa mahakamani, kwa njia ambayo imetolewa na Sheria ya Bunge. (e) Kuandaa na kutekeleza mipango ya kuendelea kwa elimu na mafunzo ya majaji, mahakimu, maafisa wengine wa idara ya mahakama na wafanyakazi wengine katika kazi hiyo; na (f) kuishauri Serikali ya Kitaifa kuboresha utendakazi na utekelezaji wa haki na pamoja na kutoa huduma za ushauri wa kisheria. (2) Katika utekelezaji wa majukumu yake, Tume itaongozwa na yafuatayo – (a) ushindani na utaratibu wenye uwazi katika kuwaajiri maafisa wa idara ya mahakama na wafanyakazi wengine katika idara hiyo. (b) kukuza usawa wa kijinsia.
Kwa maneno rahisi
- Tume ya Huduma za Mahakama hupendekeza watu kuteuliwa kama majaji, na huteua na kuadhibu mahakimu na wafanyakazi wengine wa mahakama.
Art. 172(1)
(1) Tume ya Huduma za Mahakama itahakikisha na kuimarisha uhuru na uwajibikaji wa idara ya Mahakama na kuimarisha uhuru na uwazi wa mahakama na usimamizi bora na wenye uwazi na haki pamoja na – (a) kupendekeza kwa Rais wa Taifa watu wa kuteuliwa kuwa majaji; (b) kuchunguza na kutoa mapendekezo kuhusu masharti ya utendajikazi wa- (i) majaji na maafisa wengine wa mahakama kando na mishahara; na (ii) wafanyikazi wa mahakama; (c) kuchunguza na kutoa mapendekezo kuhusu hali na mazingira ya utendajikazi wa wafanyakazi katika idara ya mahakama; (d) kuteua, kupokea malalamiko ya kupinga, kuchunguza na kuwafuta au hatua nyinginezo za kuwaadhibu, kuwasajili,mahakimu na maafisa wengine wa mahakama na wafanyakazi wengine wa mahakamani, kwa njia ambayo imetolewa na Sheria ya Bunge. (e) Kuandaa na kutekeleza mipango ya kuendelea kwa elimu na mafunzo ya majaji, mahakimu, maafisa wengine wa idara ya mahakama na wafanyakazi wengine katika kazi hiyo; na (f) kuishauri Serikali ya Kitaifa kuboresha utendakazi na utekelezaji wa haki na pamoja na kutoa huduma za ushauri wa kisheria.
Soma kifungu kamili → - Inaongozwa na mchakato wa ushindani na uwazi wa uteuzi na kukuza usawa wa kijinsia.
Art. 172(2)
(2) Katika utekelezaji wa majukumu yake, Tume itaongozwa na yafuatayo – (a) ushindani na utaratibu wenye uwazi katika kuwaajiri maafisa wa idara ya mahakama na wafanyakazi wengine katika idara hiyo. (b) kukuza usawa wa kijinsia.
Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
- Tume hupendekeza majaji na husimamia wafanyakazi wengine wa mahakama.