Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Sura 11, Sehemu 1 · Art. 175

Kanuni za Serikali ya ugatuzi

2010-as-amended · effective 2010-08-27

Nakala halisi

Serikali za kaunti zilizobuniwa chini ya Katiba hii zitazingatia kanuni zifuatazo-
  (a) Serikali za kaunti zitazingatia misingi ya kidemokrasia na utengano wa mamlaka.
  (b) Serikali za kaunti sharti ziwe na njia za kuaminika za kuzalisha mapato ili
  kuziwezesha kuendesha shughuli zao na kutoa huduma kwa njia bora; na
  (c) isiyo zaidi ya theluthi mbili ya wanachama wawakilishi wa taasisi za umma
  katika Serikali za kaunti watakuwa wa jinsia moja.
Kwa maneno rahisi
  • Serikali za kaunti lazima zijikite katika kanuni za kidemokrasia na mgawanyo wa mamlaka.
    Art. 175(a)

    Serikali za kaunti zilizobuniwa chini ya Katiba hii zitazingatia kanuni zifuatazo- (a) Serikali za kaunti zitazingatia misingi ya kidemokrasia na utengano wa mamlaka. (b) Serikali za kaunti sharti ziwe na njia za kuaminika za kuzalisha mapato ili kuziwezesha kuendesha shughuli zao na kutoa huduma kwa njia bora; na (c) isiyo zaidi ya theluthi mbili ya wanachama wawakilishi wa taasisi za umma katika Serikali za kaunti watakuwa wa jinsia moja.

    Soma kifungu kamili →
  • Serikali za kaunti lazima ziwe na vyanzo vya mapato vya kuaminika ili kutawala na kutoa huduma.
    Art. 175(b)

    Serikali za kaunti zilizobuniwa chini ya Katiba hii zitazingatia kanuni zifuatazo- (a) Serikali za kaunti zitazingatia misingi ya kidemokrasia na utengano wa mamlaka. (b) Serikali za kaunti sharti ziwe na njia za kuaminika za kuzalisha mapato ili kuziwezesha kuendesha shughuli zao na kutoa huduma kwa njia bora; na (c) isiyo zaidi ya theluthi mbili ya wanachama wawakilishi wa taasisi za umma katika Serikali za kaunti watakuwa wa jinsia moja.

    Soma kifungu kamili →
  • Wajumbe wa taasisi za uwakilishi katika serikali ya kaunti wasiozidi theluthi mbili wawe wa jinsia moja.
    Art. 175(c)

    Serikali za kaunti zilizobuniwa chini ya Katiba hii zitazingatia kanuni zifuatazo- (a) Serikali za kaunti zitazingatia misingi ya kidemokrasia na utengano wa mamlaka. (b) Serikali za kaunti sharti ziwe na njia za kuaminika za kuzalisha mapato ili kuziwezesha kuendesha shughuli zao na kutoa huduma kwa njia bora; na (c) isiyo zaidi ya theluthi mbili ya wanachama wawakilishi wa taasisi za umma katika Serikali za kaunti watakuwa wa jinsia moja.

    Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
  • Serikali za kaunti lazima ziwe za kidemokrasia na ziwe na fedha za kutosha kuwahudumia watu.

    Tafuta →