Sura 11, Sehemu 2 · Art. 177
Wanachama wa baraza la kaunti
2010-as-amended · effective 2010-08-27
Nakala halisi
(1) Baraza la kaunti lina wanachama wafuatao- (a) wanachama waliochaguliwa na wapiga kura waliosajiliwa katika wadi, kila wadi ikijumuisha eneo moja la uwakilishi siku ile ya kupiga kura ya uchaguzi mkuu wa kuwachagua wabunge, itakayokuwa Jumanne ya pili ya mwezi Agosti baada ya kila miaka mitano (b) idadi ya wabunge maalum ili kuhakikisha kuwa hakuna zaidi ya wabunge thuluthi mbili wa jinsia moja katika bunge hilo. (c) idadi ya wanachama kutoka katika makundi yaliyotengwa, wakiwemo watu walemavu, jamii za watu wachache na vijana, kama inavyopendekezwa katika Sheria ya Bunge; na (d) spika, asiye mwanachama rasmi. (2) Wanachama wanaotajwa katika ibara ya (1) (b) na (c) watatateuliwa na vyama vya kisiasa kwa mgao wa kutegemea idadi ya viti chama cha kisiasa kilivyopata katika uchaguzi huo, katika kaunti hiyo chini ya Ibara ya (a) kulingana na kifungu cha 90. (3) Kujaza viti maalum kwa mujibu wa ibara ya (1) (b) kutaamuliwa baada ya kutangazwa kwa wanachama waliochaguliwa katika kila wadi. (4) Baraza la kaunti huchaguliwa kwa kipindi cha miaka mitano.
Kwa maneno rahisi
- Bunge la kaunti linaundwa na wajumbe waliochaguliwa kutoka wadi, wajumbe wa viti maalum kukidhi kanuni ya theluthi mbili ya jinsia, wajumbe wa makundi yaliyotengwa, na Spika.
Art. 177(1)
(1) Baraza la kaunti lina wanachama wafuatao- (a) wanachama waliochaguliwa na wapiga kura waliosajiliwa katika wadi, kila wadi ikijumuisha eneo moja la uwakilishi siku ile ya kupiga kura ya uchaguzi mkuu wa kuwachagua wabunge, itakayokuwa Jumanne ya pili ya mwezi Agosti baada ya kila miaka mitano (b) idadi ya wabunge maalum ili kuhakikisha kuwa hakuna zaidi ya wabunge thuluthi mbili wa jinsia moja katika bunge hilo. (c) idadi ya wanachama kutoka katika makundi yaliyotengwa, wakiwemo watu walemavu, jamii za watu wachache na vijana, kama inavyopendekezwa katika Sheria ya Bunge; na (d) spika, asiye mwanachama rasmi.
Soma kifungu kamili → - Bunge la kaunti huchaguliwa kwa kipindi cha miaka mitano.
Art. 177(4)
(4) Baraza la kaunti huchaguliwa kwa kipindi cha miaka mitano.
Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
- Bunge la kaunti lina wajumbe waliochaguliwa kutoka wadi, pamoja na wengine.