Sura 11, Sehemu 2 · Art. 181
Kuondolewa kwa gavana wa kaunti
2010-as-amended · effective 2010-08-27
Nakala halisi
(1) Gavana wa kaunti anaweza kuondolewa kutoka afisini katika msingi wowote kati ya misingi ifuatayo- (a) ukiukaji wa katiba hii au sheria yoyote uliokithiri ; (b) ikiwa pana sababu ya kutosha kuamini kuwa gavana huyo wa kaunti amefanya uhalifu chini ya sheria ya taifa au kimataifa; (c) kutumia mamlaka ya afisi vibaya au utovu wa nidhamu uliokithiri; (d) kukosa uwezo wa kimwili au kiakili kutekeleza majukumu ya afisi ya gavana. (2) Bunge litatunga sheria ya kutoa kanuni za kufuatwa kumuondoa gavana afisini kwa msingi wowote uliotajwa katika ibara ya (1).
Kwa maneno rahisi
- Gavana wa kaunti anaweza kuondolewa kwa ukiukaji mkubwa wa Katiba au sheria, kosa zito, matumizi mabaya ya ofisi au maovu makubwa, au kutokuwa na uwezo wa kimwili au kiakili.
Art. 181(1)
(1) Gavana wa kaunti anaweza kuondolewa kutoka afisini katika msingi wowote kati ya misingi ifuatayo- (a) ukiukaji wa katiba hii au sheria yoyote uliokithiri ; (b) ikiwa pana sababu ya kutosha kuamini kuwa gavana huyo wa kaunti amefanya uhalifu chini ya sheria ya taifa au kimataifa; (c) kutumia mamlaka ya afisi vibaya au utovu wa nidhamu uliokithiri; (d) kukosa uwezo wa kimwili au kiakili kutekeleza majukumu ya afisi ya gavana.
Soma kifungu kamili → - Bunge lazima liweke utaratibu wa kuondolewa.
Art. 181(2)
(2) Bunge litatunga sheria ya kutoa kanuni za kufuatwa kumuondoa gavana afisini kwa msingi wowote uliotajwa katika ibara ya (1).
Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
- Gavana wa kaunti anaweza kuondolewa kwa makosa makubwa, kwa kufuata mchakato uliowekwa.