Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Sura 11, Sehemu 2 · Art. 183

Majukumu ya mamlaka kuu za kaunti

2010-as-amended · effective 2010-08-27

Nakala halisi

(1) Kamati kuu ya kaunti ina majukumu yafuatayo:
  (a) utekelezaji wa sheria za bunge la kaunti;
  (b) utekelezaji, katika kaunti , sheria za taifa inavyohitajika kisheria;
  (c) kusimamia shughuli za utawala wa kaunti na idara zake; na
  (d) kutekeleza majukumu mengine yoyote kwa mujibu wa Katiba hii na sheria ya
  nchi.
(2) kamati kuu ya kaunti inaweza kuandaa sheria iliyopendekezwa na kuziwasilisha kwa
bunge la kaunti.
(3) kamati kuu ya kaunti itatoa ripoti kamili za mara kwa mara kwa baraza la kaunti
kuhusu masuala yaliyo chini ya udhibiti wa kamati hiyo.
Kwa maneno rahisi
  • Kamati kuu ya kaunti hutekeleza sheria za kaunti na sheria za kitaifa ndani ya kaunti.
    Art. 183(1)

    (1) Kamati kuu ya kaunti ina majukumu yafuatayo: (a) utekelezaji wa sheria za bunge la kaunti; (b) utekelezaji, katika kaunti , sheria za taifa inavyohitajika kisheria; (c) kusimamia shughuli za utawala wa kaunti na idara zake; na (d) kutekeleza majukumu mengine yoyote kwa mujibu wa Katiba hii na sheria ya nchi.

    Soma kifungu kamili →
  • Husimamia na kuratibu majukumu ya utawala wa kaunti na idara zake.
    Art. 183(1)(c)

    (c) kusimamia shughuli za utawala wa kaunti na idara zake; na

    Soma kifungu kamili →
  • Lazima ipe bunge la kaunti ripoti kamili na za mara kwa mara.
    Art. 183(3)

    (3) kamati kuu ya kaunti itatoa ripoti kamili za mara kwa mara kwa baraza la kaunti kuhusu masuala yaliyo chini ya udhibiti wa kamati hiyo.

    Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
  • Kamati kuu ya kaunti hutekeleza sheria za kaunti na kuendesha huduma za kaunti.

    Tafuta →