Sura 11, Sehemu 2 · Art. 184
Maeneo ya miji na majiji
2010-as-amended · effective 2010-08-27
Nakala halisi
(1) Sheria ya Kitaifa itaidhinisha utawala na usimamizi wa maeneo ya mijini na majiji na hususan ita- (a) buni vigezo vya kuainisha maeneo kama miji na majiji; (b) buni kanuni za utawala na usimamizi wa maeneo ya mijini na majiji; na (c) ruhusu ushiriki wa umma katika utawala wa maeneo ya mijini na majiji. (2) Sheria ya kitaifa inyorejelewa katika Ibara ya (1) inaweza kujumuisha njia za kutambua kategoria mbalimbali za maeneo ya mijini na majiji, na utawala wao.
Kwa maneno rahisi
- Sheria ya kitaifa hutoa uongozi na usimamizi wa maeneo ya miji na majiji.
Art. 184(1)
(1) Sheria ya Kitaifa itaidhinisha utawala na usimamizi wa maeneo ya mijini na majiji na hususan ita- (a) buni vigezo vya kuainisha maeneo kama miji na majiji; (b) buni kanuni za utawala na usimamizi wa maeneo ya mijini na majiji; na (c) ruhusu ushiriki wa umma katika utawala wa maeneo ya mijini na majiji.
Soma kifungu kamili → - Lazima itoe ushiriki wa wakazi katika uongozi wa maeneo ya miji na majiji.
Art. 184(1)(c)
(c) ruhusu ushiriki wa umma katika utawala wa maeneo ya mijini na majiji.
Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
- Miji na majiji yana uongozi wake, na wakazi wanaweza kushiriki.