Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Sura 11, Sehemu 7 · Art. 197

Usawa na tofauti za kijinsia katika baraza la kaunti

2010-as-amended · effective 2010-08-27

Nakala halisi

(1) Wanachama wa baraza lolote la kaunti au wa kamati ya mamlaka kuu ya kaunti,
wasiwe zaidi ya thuluthi mbili katika jinsia moja.
(2) Bunge litatunga sheria-
  (a) kuhahakikisha kwamba tofauti za kijamii na za kitamaduni katika nchi
  zinaangaziwa kwenye mabaraza na kamati za mamlaka kuu za kaunti ; na
  (b) kuweka mikakati ya kuwalinda walio wachache katika kaunti hizo.
Kwa maneno rahisi
  • Wajumbe wa bunge la kaunti au kamati kuu ya kaunti wasiozidi theluthi mbili wawe wa jinsia moja.
    Art. 197(1)

    (1) Wanachama wa baraza lolote la kaunti au wa kamati ya mamlaka kuu ya kaunti, wasiwe zaidi ya thuluthi mbili katika jinsia moja.

    Soma kifungu kamili →
  • Bunge lazima lihakikishe utofauti wa jamii na kitamaduni wa kaunti unaonekana katika bunge na mamlaka kuu yake.
    Art. 197(2)(a)

    (a) kuhahakikisha kwamba tofauti za kijamii na za kitamaduni katika nchi zinaangaziwa kwenye mabaraza na kamati za mamlaka kuu za kaunti ; na

    Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
  • Katika bunge la kaunti, wasiozidi theluthi mbili ya wajumbe wawe jinsia moja.
    Art. 197(1)

    (1) Wanachama wa baraza lolote la kaunti au wa kamati ya mamlaka kuu ya kaunti, wasiwe zaidi ya thuluthi mbili katika jinsia moja.

    Soma kifungu kamili →

    Tafuta →