Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Sura 12, Sehemu 5 · Art. 224

Miswada ya Matumizi ya fedha za Kaunti

2010-as-amended · effective 2010-08-27

Nakala halisi

Katika misingi ya mswada wa mgao wa mapato uliopitishwa na Bunge chini ya
kifungu cha 218, kila serikali ya kaunti itaandaa na kutumia bajeti yake ya mwaka
wa matumizi ya fedha, jinsi ulivyoandikwa katika misingi na utaratibu uliowekwa na
sheria ya Bunge.
Kwa maneno rahisi
  • Kwa msingi wa Mswada wa Mgawanyo wa Mapato, kila serikali ya kaunti huandaa na kupitisha bajeti yake ya kila mwaka na Mswada wa Ugavi.
    Art. 224

    Katika misingi ya mswada wa mgao wa mapato uliopitishwa na Bunge chini ya kifungu cha 218, kila serikali ya kaunti itaandaa na kutumia bajeti yake ya mwaka wa matumizi ya fedha, jinsi ulivyoandikwa katika misingi na utaratibu uliowekwa na sheria ya Bunge.

    Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
  • Kila kaunti hufanya bajeti yake kulingana na fedha inazopewa.

    Tafuta →