Sura 15 · Art. 253
Ushirikishwaji wa tume na afisi huru
2010-as-amended · effective 2010-08-27
Nakala halisi
Kila tume na afisi huru- (a) ni asasi shirikishi iliyo na msururu wa urithi na muhuri wake; na (b) inaweza kushtaki na kushtakiwa katika jina lake la kiushirika.
Kwa maneno rahisi
- Kila tume na kila ofisi huru ni chombo cha kisheria chenye mwendelezo wa kudumu na muhuri, na kinaweza kushtaki na kushtakiwa kwa jina lake.
Art. 253
Kila tume na afisi huru- (a) ni asasi shirikishi iliyo na msururu wa urithi na muhuri wake; na (b) inaweza kushtaki na kushtakiwa katika jina lake la kiushirika.
Soma kifungu kamili →
Maelezo ya watoto
- Kila tume ni chombo chake cha kisheria kinachoweza kushtakiwa au kushtaki.