Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Sura 3 · Art. 18

Sheria kuhusu Uraia

  • Bunge lazima litunge sheria kuhusu jinsi mtu anakuwa raia.
    Art. 18(a)

    Bunge litaunda sheria — (a) kueleza taratibu ambazo kupitia kwazo mtu anaweza kuwa raia; (b) kuongoza uingiaji na kukaa nchini Kenya (c) kutoa hali ya wakaazi wa kudumu; (d) kutoa nafasi ya kukana uraia kwa hiari; (e) kutoa taratibu za kupokonywa uraia; (f) kuamua majukumu na haki za raia; na (g) Kwa jumla, kuyawezesha masharti ya Sura hii.

    Soma kifungu kamili →
  • Bunge lazima litunge sheria kuhusu kuingia na kuishi Kenya.
    Art. 18(b)

    Bunge litaunda sheria — (a) kueleza taratibu ambazo kupitia kwazo mtu anaweza kuwa raia; (b) kuongoza uingiaji na kukaa nchini Kenya (c) kutoa hali ya wakaazi wa kudumu; (d) kutoa nafasi ya kukana uraia kwa hiari; (e) kutoa taratibu za kupokonywa uraia; (f) kuamua majukumu na haki za raia; na (g) Kwa jumla, kuyawezesha masharti ya Sura hii.

    Soma kifungu kamili →
  • Bunge lazima litunge sheria kuhusu kuachana na uraia kwa hiari.
    Art. 18(d)

    Bunge litaunda sheria — (a) kueleza taratibu ambazo kupitia kwazo mtu anaweza kuwa raia; (b) kuongoza uingiaji na kukaa nchini Kenya (c) kutoa hali ya wakaazi wa kudumu; (d) kutoa nafasi ya kukana uraia kwa hiari; (e) kutoa taratibu za kupokonywa uraia; (f) kuamua majukumu na haki za raia; na (g) Kwa jumla, kuyawezesha masharti ya Sura hii.

    Soma kifungu kamili →

Soma nakala halisi →

    Tafuta →