Sura 4, Sehemu 2 · Art. 42
Mazingira
- Kila mtu ana haki ya mazingira safi na yenye afya.
Art. 42
(1) Kila mtu ana haki ya kuishi katika mazingira safi na salama, ambapo ni pamoja na haki ya- (a) kutunziwa mazingira kwa manufaa ya vizazi vilivyopo na vijavyo kupitia kwa hatua za kisheria na nyinginezo hasa zile ambazo zinakusudiwa katika Kifungu cha 69; (b) Kuhakikisha kuwa wajibu unaohusu mazingira, ulio chini ya Kifungu cha ya 70 umetimizwa.
Soma kifungu kamili → - Mazingira lazima yalindwe kwa ajili ya vizazi vya sasa na vijavyo.
Art. 42(a)
(1) Kila mtu ana haki ya kuishi katika mazingira safi na salama, ambapo ni pamoja na haki ya- (a) kutunziwa mazingira kwa manufaa ya vizazi vilivyopo na vijavyo kupitia kwa hatua za kisheria na nyinginezo hasa zile ambazo zinakusudiwa katika Kifungu cha 69; (b) Kuhakikisha kuwa wajibu unaohusu mazingira, ulio chini ya Kifungu cha ya 70 umetimizwa.
Soma kifungu kamili →
- Kila mtu ana haki ya kuishi mahali safi na penye afya.