Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Sura 5, Sehemu 2 · Art. 69

Kanuni na wajibu kuhusiana na mazingira

  • Serikali lazima ihakikishe matumizi endelevu na uhifadhi wa mazingira na maliasili.
    Art. 69(1)(a)

    Serikali – (a) itahakikisha matumizi, usimamizi, na uhifadhi wa mazingira na maliasili unaodumishwa na kuhakikisha usawa katika ugavi wa faida zinazopatikana. (b) itafanya juhudi ili kutimiza na kuhakikisha kuwa angalau asilimia kumi ya ardhi ya Kenya imepandwa miti; (c) italinda na kukuza hakimiliki za rasilmali za kiakili na elimu ya jadi ya uanuwai wa viumbe na rasilmali za kinasaba za kuzaliwa za jamii; (d) itahimiza kushiriki kwa umma katika usimamizi, utunzaji, na uhifadhi wa mazingira. (e) italinda rasilmali zote za kinasaba na uanuwai wa kielimu viumbe; (f) itaanzisha mifumo ya kutathmini athari ya mazingira, ukaguzi wa mazingira na usimamizi wa mazingira hayo; (g) itatupilia mbali michakato na shughuli ambazo zinaweza kuhatarisha mazingira; na (h) kutumia mazingira na maliasili kwa manufaa ya Wakenya. (2) Kila mtu anawajibika kushirikiana na idara za Serikali na watu wengine kulinda na kuhifadhi mazingira na kuhakikisha kuna maendeleo ya kiekolojia na matumizi ya rasilmali.

    Soma kifungu kamili →
  • Serikali lazima ifanye kazi kufikia angalau asilimia kumi ya miti kufunika eneo la ardhi la Kenya.
    Art. 69(1)(b)

    Serikali – (a) itahakikisha matumizi, usimamizi, na uhifadhi wa mazingira na maliasili unaodumishwa na kuhakikisha usawa katika ugavi wa faida zinazopatikana. (b) itafanya juhudi ili kutimiza na kuhakikisha kuwa angalau asilimia kumi ya ardhi ya Kenya imepandwa miti; (c) italinda na kukuza hakimiliki za rasilmali za kiakili na elimu ya jadi ya uanuwai wa viumbe na rasilmali za kinasaba za kuzaliwa za jamii; (d) itahimiza kushiriki kwa umma katika usimamizi, utunzaji, na uhifadhi wa mazingira. (e) italinda rasilmali zote za kinasaba na uanuwai wa kielimu viumbe; (f) itaanzisha mifumo ya kutathmini athari ya mazingira, ukaguzi wa mazingira na usimamizi wa mazingira hayo; (g) itatupilia mbali michakato na shughuli ambazo zinaweza kuhatarisha mazingira; na (h) kutumia mazingira na maliasili kwa manufaa ya Wakenya. (2) Kila mtu anawajibika kushirikiana na idara za Serikali na watu wengine kulinda na kuhifadhi mazingira na kuhakikisha kuna maendeleo ya kiekolojia na matumizi ya rasilmali.

    Soma kifungu kamili →
  • Kila mtu ana wajibu wa kushirikiana kulinda na kuhifadhi mazingira.
    Art. 69(2)

    (2) Kila mtu anawajibika kushirikiana na idara za Serikali na watu wengine kulinda na kuhifadhi mazingira na kuhakikisha kuna maendeleo ya kiekolojia na matumizi ya rasilmali.

    Soma kifungu kamili →

Soma nakala halisi →

    Tafuta →