Sura 6 · Art. 79
Sheria ya kuundwa kwa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi
- Bunge lazima liunde tume huru ya maadili na kupambana na ufisadi.
Art. 79
Bunge litatunga sheria ya kubuniwa kwa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, ambayo itakuwa na hadhi na mamlaka sawa na tume iliyo chini ya Sura ya Kumi na Tano, kwa nia ya kuhakikisha utimizaji na utekelezaji wa masharti ya Sura hii.
Soma kifungu kamili →
- Kenya ina ofisi inayopambana na ufisadi na kuhakikisha viongozi wanafuata maadili.