Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Sura 6 · Art. 80

Sheria kuhusu uongozi

  • Bunge lazima litunge sheria kutekeleza Sura hii ya uongozi na maadili.
    Art. 80

    Bunge litatunga sheria – (a) kubuni taratibu na mikakati ya kutekeleza sura hii kwa njia ifaayo; (b) kupendekeza adhabu zaidi ya zile zinazotajwa katika Kifungu cha 75, ambazo zinaweza kuamriwa kwa sababu ya kutofuata maagizo ya Sura hii; (c) kusaidia katika utekelezaji wa Sura hii pakiwa na marekebisho yanayofaa kwa maafisa wa umma; na (d) kuunda masharti mengine yoyote katika kuhakikisha udumishaji wa kanuni za uongozi na uadilifu ambayo yametajwa katika Sura hii, na utekelezaji wa masharti ya Sura hii.

    Soma kifungu kamili →
  • Bunge huweka adhabu kwa kuvunja Sura hii.
    Art. 80(b)

Soma nakala halisi →

    Tafuta →