Sura 7, Sehemu 1 · Art. 86
Upigaji kura
- Tume ya uchaguzi lazima ihakikishe mfumo wa kupiga kura ni rahisi, sahihi, unaoweza kuthibitishwa, salama, uwajibikaji na wa wazi.
Art. 86(a)
Katika kila uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka itahakikisha kwamba- (a) katika njia yoyote ya upigaji kura itakayotumiwa, mfumo unakuwa rahisi, sahihi, wa kuthibitika, salama, unaowajibika na ulio na uwazi; (b) kura zinazopigwa zinahesabiwa, kuorodheshwa na matokeo kutangazwa moja kwa moja na afisa msimamizi wa kituo cha upigaji kura hapo kituoni; (c) matokeo kutoka kwa vituo vingine vya upigaji kura yanajumlishwa kwa uwazi na kutangazwa moja kwa moja na afisa msimamizi wa kituo cha upigaji kura; na miundo na taratibu mwafaka zimewekwa ili kuondoa uwezekano wa kuhusishwa kwa mienendo yoyote mibaya, ukiwemo uhifadhi salama wa vifaa vya uchaguzi.
Soma kifungu kamili → - Kura lazima zihesabiwe na matokeo yatangazwe mara moja katika kila kituo cha kupigia kura.
Art. 86(b)
Katika kila uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka itahakikisha kwamba- (a) katika njia yoyote ya upigaji kura itakayotumiwa, mfumo unakuwa rahisi, sahihi, wa kuthibitika, salama, unaowajibika na ulio na uwazi; (b) kura zinazopigwa zinahesabiwa, kuorodheshwa na matokeo kutangazwa moja kwa moja na afisa msimamizi wa kituo cha upigaji kura hapo kituoni; (c) matokeo kutoka kwa vituo vingine vya upigaji kura yanajumlishwa kwa uwazi na kutangazwa moja kwa moja na afisa msimamizi wa kituo cha upigaji kura; na miundo na taratibu mwafaka zimewekwa ili kuondoa uwezekano wa kuhusishwa kwa mienendo yoyote mibaya, ukiwemo uhifadhi salama wa vifaa vya uchaguzi.
Soma kifungu kamili →
- Kura lazima zihesabiwe kwa makini na matokeo yaambiwe kila mtu haraka.