Sura 8, Sehemu 6 · Art. 126
Eneo la Vikao vya Bunge
- Kikao cha Baraza lolote kinaweza kufanyika mahali popote nchini Kenya na kuanza wakati wowote Baraza linaopanga.
Art. 126(1)
(1) Vikao vya Bunge lolote vinaweza kufanyiwa sehemu yoyote nchini Kenya, na kuanza wakati wowote utakaoteuliwa na Bunge.
Soma kifungu kamili → - Baada ya uchaguzi, Rais huteua mahali na tarehe ya kikao cha kwanza, ndani ya siku 30.
Art. 126(2)
(2) Kila kutakapochaguliwa Bunge jipya, Rais, kwa kupitia notisi ya Gazeti Rasmi la Serikali, atateua mahali na tarehe ya kikao cha kwanza cha Bunge jipya, ambayo haitakuwa zaidi ya siku thelathini baada ya uchaguzi.
Soma kifungu kamili →
- Bunge linaweza kukutana mahali popote nchini Kenya, na baada ya uchaguzi lazima likutane ndani ya siku 30.