Sura 9, Sehemu 2 · Art. 135
Maamuzi ya Rais
- Uamuzi wa Rais lazima uwe kwa maandishi na uwe na muhuri na sahihi ya Rais.
Art. 135
Uamuzi wa Rais katika utekelezaji wa jukumu lolote la Rais chini ya Katiba hii utakuwa kwa maandishi na itahitajika kuwa na muhuri na saini ya Rais.
Soma kifungu kamili →
- Maamuzi ya Rais lazima yaandikwe na kusainiwa.
Art. 135
Uamuzi wa Rais katika utekelezaji wa jukumu lolote la Rais chini ya Katiba hii utakuwa kwa maandishi na itahitajika kuwa na muhuri na saini ya Rais.
Soma kifungu kamili →