Sura 12, Sehemu 4 · Art. 215
Tume ya Ugavi wa Mapato
- Kuna Tume ya Mgawanyo wa Mapato.
Art. 215(1)
(1) Kutabuniwa Tume ya Ugavi wa Mapato.
Soma kifungu kamili → - Inaundwa na mwenyekiti, watu walioteuliwa na vyama katika Bunge la Kitaifa na Seneti, na Katibu Mkuu wa fedha.
Art. 215(2)
(2) Tume hii itajumuisha watu wafuatao watakaoteuliwa na Rais- (a) Mwenyekiti atakayeteuliwa na Rais na kuidhinishwa na Baraza la Kitaifa; (b) Watu wawili walioteuliwa na vyama vya kisiasa vinavyowakilishwa katika Baraza la Kitaifa kutegemea idadi ya wabunge wa chama bungeni; (c) Watu watano walioteuliwa na vyama vya kisiasa vinavyowakilishwa katika seneti kwa kutegemea idadi yao ya uwakilishi katika seneti; na (d) Katibu Mkuu katika wizara inayosimamia fedha.
Soma kifungu kamili → - Wajumbe lazima wawe na uzoefu mkubwa wa kitaaluma katika masuala ya kifedha na kiuchumi.
Art. 215(4)
(4) Ili kuhitimu kuwa kamishna wa Tume hii chini ya ibara ya (2) (a), (b) au (c), mtu lazima awe na tajriba pana katika taaluma ya masuala ya kifedha na uchumi.
Soma kifungu kamili →
- Tume maalum hushauri jinsi fedha zinapaswa kugawanywa kwa haki.
Art. 215(1)
(1) Kutabuniwa Tume ya Ugavi wa Mapato.
Soma kifungu kamili →