Art. 6
Ugatuzi na Kufikia Huduma
- Kenya imegawanywa katika kaunti 47, na serikali ya kitaifa na za kaunti hufanya kazi pamoja.
Art. 6(2)
(2) Serikali katika viwango vya kitaifa na kaunti ni tofauti na zinategemeana na Zitaendesha mahusiano yao ya uelewanaji kwa misingi ya mashauriano na ushirikiano.
Soma kifungu kamili →