Art. 48
Uwezo wa Kufikia Haki
- Kama kuna jambo lisilo la haki, unaweza kuomba mahakama ikusaidie. Gharama zisikuzuie.
Art. 48
Serikali itahakikisha uwezekano wa watu wote kufikia haki na malipo yoyote yakihitajika, yatakuwa ya kufaa na hayatazuia uwezekano wa kutendewa haki.
Soma kifungu kamili →