Art. 129
Kanuni za mamlaka kuu
- Rais na serikali wana mamlaka ya kuwatumikia wananchi.
Art. 129(2)
(2) Mamlaka kuu ya serikali yanapaswa kutekelezwa kwa namna ambayo inachukuana na kanuni ya huduma kwa watu wa Kenya, na kwa ustawi na manufaa yao.
Soma kifungu kamili →