Art. 151
Malipo na marupurupu ya Rais na Naibu wa Rais
- Rais na Naibu wa Rais hulipwa kutoka fedha za umma, na malipo yao hayawezi kupunguzwa wakiwa madarakani.
Art. 151(1)
(1) Mshahara na marupurupu yatakayolipwa Rais na Naibu wa rais yatatoka kwa Mfuko wa Jumla wa fedha.
Soma kifungu kamili →