Art. 205
Mashauriano kuhusu sheria za Kifedha zinazoathiri Kaunti
- Kabla Bunge kupiga kura kuhusu sheria za fedha zinazohusu kaunti, lazima lizingatie ushauri wa tume.
Art. 205(1)
(1) Wakati mswada ambao unahusisha ugavi wa mapato, au suala lolote la kifedha linalohusu serikali za kaunti utakapochapishwa, Tume ya ugavi wa Mapato itachunguza mahitaji yake na kutoa mapendekezo kwa Baraza la Kitaifa na Seneti.
Soma kifungu kamili →