Art. 208
Hazina ya Dharura
- Mfuko maalum wa dharura hugharamia matumizi ya haraka yasiyotarajiwa.
Art. 208(1)
(1) Kutabuniwa Hazina ya Dharura, ambayo shughuli zake zitaendeshwa kwa mujibu wa Sheria ya Bunge.
Soma kifungu kamili →
Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho
Art. 208
(1) Kutabuniwa Hazina ya Dharura, ambayo shughuli zake zitaendeshwa kwa mujibu wa Sheria ya Bunge.
Soma kifungu kamili →