Art. 242
Kuundwa kwa Huduma za Upelelezi za Kitaifa
- Huduma ya ujasusi hukusanya taarifa ili kulinda nchi.
Art. 242(2)
(2) Huduma za Kitaifa za Upelelezi- (a) zitahusika na shughuli za kiupelelezi na zile za kuzuia upelelezi kuhusu usalama ili kuimarisha usalama wa kitaifa kwa mujibu wa Katiba hii; na (b) kutekeleza majukumu mengine yoyote kwa mujibu wa sheria ya nchi..
Soma kifungu kamili →