Art. 248
Utekelezezaji wa Sura
- Kenya ina tume na ofisi nyingi huru zinazochunguza serikali.
Art. 248(1)
(1) Sura hii inahusu Tume zote zilizotajwa katika ibara ya (2) na afisi huru zilizotajwa katika ibara ya (3), isipokuwa pale ambapo imetajwa vinginevyo.
Soma kifungu kamili →