Art. 249
Malengo, mamlaka na ufadhili wa Tume na afisi huru
- Tume ni huru na hufanya kazi kulinda wananchi na Katiba.
Art. 249(1)
(1) Malengo ya Tume na afisi huru ni – (a) kulinda mamlaka ya watu; (b) kuhakikisha kwamba idara zote za serikali zinazingatia kanuni na maadili ya kidemokrasia; na (c ) kuendeleza mfumo wa kikatiba.
Soma kifungu kamili →