Sura 1 · Art. 1
Mamlaka ya wananchi
- Mamlaka yote makuu ni ya wananchi wa Kenya.
Art. 1(1)
(1) Mamlaka yote makuu ni ya wananchi wa Kenya na yanaweza kutekelezwa tu kulingana na Katiba hii.
Soma kifungu kamili → - Wananchi hutumia mamlaka yao moja kwa moja au kupitia wawakilishi waliochaguliwa.
Art. 1(2)
(2) Wananchi watatekeleza mamlaka yao kwa njia ya moja kwa moja au kupitia kwawawakilishi wao waliochaguliwa kidemokrasia.
Soma kifungu kamili → - Mamlaka yanatekelezwa katika ngazi ya kitaifa na ya kaunti.
Art. 1(4)
(4) mamlaka ya wananchi yanatekelezwa katika- (a) kiwango cha kitaifa; na (b) kiwango cha kaunti.
Soma kifungu kamili →
- Nchi ni ya wananchi. Viongozi wana mamlaka kwa sababu wananchi wanawapa.
Art. 1(1)
(1) Mamlaka yote makuu ni ya wananchi wa Kenya na yanaweza kutekelezwa tu kulingana na Katiba hii.
Soma kifungu kamili →