Sura 5, Sehemu 1 · Art. 68
Sheria kuhusu Ardhi
- Bunge lazima lirekebishe, liunganishe na kupanga sheria zilizopo za ardhi.
Art. 68(a)
(1) Bunge- (a) litarekebisha, kuunganisha na kusawazisha sheria zilizopo kuhusu ardhi; (b) litarekebisha sheria za kisekta kuhusu matumizi ya ardhi kwa mujibu wa kanuni zilizotajwa katika Kifungu cha 60 (1); (c) litatunga sheria- (i) kushauri kuhusu kiwango cha juu na cha chini cha ekari za ardhi ya kumilikiwa baada ya kuzingatia ardhi ya kibinafsi; (ii) kudhibiti njia ambazo ardhi yoyote inaweza kubadilishwa kutoka kwenye ngazi moja hadi nyingine; (iii) kudhibiti utambuaji na uhifadhi wa mali ya kindoa na hasa boma la kindoa wakati wa ndoa na wakati wa uvunjwaji wa ndoa hiyo; (iv) kulinda, kuhifadhi na kutoa nafasi ya kupatikana kwa ardhi yote ya umma; (v) kuwezesha kuchunguzwa upya kwa nafasi ya ardhi ya umma ili kuimarisha mali au uhalali wake; (vi) kuwalinda wategemezi wa jamaa za wafu na haja ya kupata ardhi yakiwemo maslahi ya mume na mke wanaoishi katika ardhi; (vii) kutoa nafasi kwa suala jingine lolote linalohitajika katika kuendeleza masharti ya Sura hii.
Soma kifungu kamili → - Bunge lazima litunge sheria kulinda mali ya ndoa, hasa nyumba ya ndoa, wakati wa ndoa na baada yake.
Art. 68(c)
(1) Bunge- (a) litarekebisha, kuunganisha na kusawazisha sheria zilizopo kuhusu ardhi; (b) litarekebisha sheria za kisekta kuhusu matumizi ya ardhi kwa mujibu wa kanuni zilizotajwa katika Kifungu cha 60 (1); (c) litatunga sheria- (i) kushauri kuhusu kiwango cha juu na cha chini cha ekari za ardhi ya kumilikiwa baada ya kuzingatia ardhi ya kibinafsi; (ii) kudhibiti njia ambazo ardhi yoyote inaweza kubadilishwa kutoka kwenye ngazi moja hadi nyingine; (iii) kudhibiti utambuaji na uhifadhi wa mali ya kindoa na hasa boma la kindoa wakati wa ndoa na wakati wa uvunjwaji wa ndoa hiyo; (iv) kulinda, kuhifadhi na kutoa nafasi ya kupatikana kwa ardhi yote ya umma; (v) kuwezesha kuchunguzwa upya kwa nafasi ya ardhi ya umma ili kuimarisha mali au uhalali wake; (vi) kuwalinda wategemezi wa jamaa za wafu na haja ya kupata ardhi yakiwemo maslahi ya mume na mke wanaoishi katika ardhi; (vii) kutoa nafasi kwa suala jingine lolote linalohitajika katika kuendeleza masharti ya Sura hii.
Soma kifungu kamili →
- Bunge lazima litunge sheria za ardhi zilizo za haki.