Sura 7, Sehemu 2 · Art. 90
Ugawaji wa orodha ya viti vya chama
- Viti vingine hujazwa kwa orodha za vyama, kwa misingi ya uwakilishi sawia.
Art. 90(1)
(1) Uchaguzi wa viti bungeni uliotolewa chini ya Kifungu cha 97 (1) (c) na 98 (1) (b), (c) na (d), na wanachama wa baraza la kaunti chini ya kifungu cha 177 (1) (b) na (c),utakuwa kwa misingi ya ushirikishwaji sawa kwa kutumia orodha za vyama.
Soma kifungu kamili → - Orodha za vyama zinabadilishana kati ya wagombea wa kiume na wa kike.
Art. 90(2)(b)
(b) isipokuwa kwenye viti vilivyoelezewa chini ya Kifungu cha cha 98 (1) (b), kila orodha ya vyama ina idadi kamilifu ya wagombeaji wanaostahili na hubadilishana kati ya wagombeaji wanaume na wanawake kulingana na jinsi walivyoorodheshwa ; na
Soma kifungu kamili →
- Viti vingine maalum hugawanywa kati ya vyama, na orodha zinabadilishana kati ya wanaume na wanawake.