Sura 8, Sehemu 4 · Art. 110
Miswada kuhusu Serikali za Kaunti
- Mswada unaohusu serikali ya kaunti ni ule unaoathiri majukumu au mamlaka ya serikali za kaunti, uchaguzi wa maafisa wa kaunti, au fedha za kaunti.
Art. 110(1)
(1) Katika Katiba hii, ‘Mswada unaohusu serikali ya kaunti unamaanisha’- (a) mswada ulio na masharti yanayoathiri majukumu na mamlaka ya serikali za kaunti zilizotajwa katika Mpangilio wa Nne; na (b) Mswada unaohusiana na uchaguzi wa mwanachama wa bunge la kaunti au serikali za kaunti. (c ) mswada uliotajwa katika Sura ya Kumi na mbili unaoathiri fedha za serikali za kaunti.
Soma kifungu kamili → - Kabla Baraza lolote kuzingatia Mswada, Spika huamua kwa pamoja kama unahusu kaunti.
Art. 110(3)
(3) Kabla ya mojawapo ya vitengo vya Bunge kutathmini mswada, Maspika wa Baraza la Kitaifa na Seneti kwa pamoja wataamua suala lolote kuhusu kama Mswada huo unahusu kaunti na iwapo ni hivyo, kama ni mswada maalumu au wa kawaida.
Soma kifungu kamili →
- Miswada mingine huathiri kaunti, na Bunge huamua jinsi ya kuishughulikia.