Sura 9, Sehemu 2 · Art. 136
Uchaguzi wa Rais
- Rais huchaguliwa na wapiga kura waliojiandikisha katika uchaguzi wa kitaifa.
Art. 136(1)
(1) Rais atachaguliwa na wapigakura waliosajiliwa katika uchaguzi wa kitaifa utakaoendeshwa kwa mujibu wa Katiba hii na Sheria nyingine yoyote ya Bunge inayothibiti uchaguzi wa Rais.
Soma kifungu kamili → - Uchaguzi hufanyika siku moja na uchaguzi mkuu, Jumanne ya pili ya Agosti kila mwaka wa tano.
Art. 136(2)
(2) Uchaguzi wa Rais utafanyika- (a) siku moja na ile ya uchaguzi mkuu wa Wabunge, ikiwa ni siku ya Jumanne ya pili ya mwezi Agosti ya kila mwaka wa tano; au (b) katika hali ambazo zinatajwa kwenye ibara ya 146.
Soma kifungu kamili →
- Rais huchaguliwa na wapiga kura wote katika uchaguzi wa kitaifa.