Sura 9, Sehemu 4 · Art. 158
Kuondolewa na Kujiuzulu kwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma
- Mkurugenzi anaweza kuondolewa tu kwa kutokuwa na uwezo wa kufanya kazi, kutofuata Sura ya Sita, kufilisika, kukosa umahiri, au maovu makubwa.
Art. 158(1)
(1) Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma anaweza kuachishwa kazi tu kwa misingi ya- (a) kutoweza kutekeleza majukumu ya afisi kutokana na kukosa uwezo wa kiakili au wa kimwili; (b) kutozingatia Sura ya Sita. (c) kufilisika (d) kutokuwa na umilisi. (e) utovu wa nidhamu na tabia mbaya
Soma kifungu kamili → - Mtu anayetaka kuondolewa huwasilisha ombi kwa Tume ya Huduma za Umma.
Art. 158(2)
(2) Mtu anayetaka kuondolewa mamlakani kwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umm, anaweza kuwasilisha malalamiko yake kwa Tume ya Huduma ya Umma ambayo, itakuwa kwa maandishi yakidhihirisha uhakika wa madai yanayounda msingi wa kuondolewa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma.
Soma kifungu kamili → - Mkurugenzi anaweza kujiuzulu kwa kutoa taarifa kwa maandishi kwa Rais.
Art. 158(9)
(9) Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma anaweza kujiuzulu kwa kumuandikia barua Rais.
Soma kifungu kamili →
- Mkurugenzi anaweza kuondolewa kwa sababu kubwa tu, kwa mchakato mkali.